Mke wangu anaumri wa miaka 25, ana mtoto wa miaka 5 na amekuwa akichoma sindano za uzazi wa mpango.
Kwa sasa ana mwaka hajachoma tena, amekuwa na tatizo la kukosa kusikia radha ya tendo la ndoa licha ya kuwa na hamu kufanya tendo la ndoa.
Naomba msaada wa ushauri/tiba