Nini chanzo na tiba ya Chronic Wheezing

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,595
Reaction score
3,670
Wheezing ni ile hali ya kutoka kwa sauti flani kwenye koo wakati wa kupumua i.e kuvuta hewa ndani au kutoa nje.

Hii hali imekuwa ikinisumbua kwa muda mrefu sana aisee, nshajaribu kutibia mara kadhaa lakini huwa inapona halafu inarud tena bada ya ya wk 2 au mwezi.

Hainizuii kufanya chochote lakini inanifanya nakosa kabisa confotability.

Kwa anaejua tiba mbadala wa hii hali anisaidie wakuu/madaktari mliomo humu.
 
Wakuu hamna anaejua kuhusu hii??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…