jacquejaytee
Member
- Jan 20, 2014
- 46
- 27
Habari wanajukwaa,
Nina mzazi wangu mwenye umri wa 57 y.o anasumbuliwa sana na tatizo la misuli ya miguu kuuma yaan inakaza na kuachia kwa muda mrefu na hali hii humtokea mara nyingi jioni kuanzia saa moja mpka usingizi utakapo mchukua.
Ni hali inayojirudia kila siku mpaka imefikia hatua ameanza kuelewa namna ya kupunguza shambulio hilo kwa Imani yake kwamba asipokula au kushiba usiku huwa analala vizuri ila akila tu ndio atakesha akiuguza maumivu makali ya misuli hiyo kukaza.
Sasa nimefikia uamuzi wa kumpeleka hospital mana naona ni tatizo linalojirudia huenda ikawa ana shida kubwa! Hivyo naomba wajuzi wa huu ugonjwa wanisaidie mambo yafuatayo:
1. Hospitali ni ugonjwa unaotibiwa na madaktari wa kitengo gani?
2. Hizi zinaweza kuwa dalili za nini? Kwa ambae ameshapitia ugonjwa kama huu
3. Kisababishi cha huu ugonjwa ni kipi? (Mana siamini kama ni kweli kwamba akishiba usiku ndio kunampa maumivu haya)
4. Ukiacha tiba atakayopewa hosp.nini kifanyike kuzuia hali hii kujitokeza na pia kipindi amepata shambulio hilo afanye nini kueasy maumivu ya wakati huo?