Nini chaweza mfanya mtoto apende kula?

Jenga tabia ya kumpa chakula na wenzake sahani moja baada ya mwezi mmoja lete mrejesho mkuu.
 
Duuh mwaka na nusu ni mkubwa, mult vitamins zipo nyingi ila ningeshauro aonane na madaktari bingwa kwanza
Ili wamshauri dawa nzuri kulingana na haki ya mtoto,nduguyo yupo mkoa gani?
 
Please mahitaji hiyo calcium powder
 
Jaribu kumpa unga wa maini uliosagwa.
Ila chonde chonde mwanao atakula sana mpaka wazazi mtamshangaa.
Ukiwa tayari ni Pm nikuelekeze jinsi ya kuandaa.
Naomba utoe ufafanuzi hapa kwa wote. Wahitaji ni wengi na sio rahisi wote kuku pm
 
Hapo Tianjin bado wapo?
 
Mm wanangu hapa mmoja ana 8 yrs na mwingine 5 yrs madume tu mpunga kg 1.5 hata wa chai asubhi haubaki

Mkate wa buku wanamaliza chaap na kupigana watapigana na ukizubaa chupa ya chai inaweza ikavunjwa

Darm they eat like their fucking dad!
 
Mie wa kwangu ana miaka 6 anasumbua kula huyo, chakula anachokijua ni chips na soseji. Siku akizinduka atakwambia anataka pilau yaani kazi kweli vyakula vingine hana habari kabisa!
malezi. sio chaguo lake kula hvyo vyakula, hayo ni machaguo yenu.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
mtoto anaesumbua kula mdistract na michezo ya hapa na pale akizubaa tu unatia kijiko mdomoni.. mpaka kibakuli kinaisha. hamna haja ya kutumia dawa za kuongeza hamu ya kula.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wapendwa?

Nna mtoto ana mwaka mmoja sasa, jamani ni mateso hataki hata kidogo kula nimetumia kila mbinu lakini nimekwama. Nimpe dawa gani ili awe anakubali kula?
Mimba yake ilipatikana kwa Hiari baina yenu Wazazi wake au ilikuwa ni ya bahati mbaya tu kuitoa ilishindikana kwa Kuogopa Dhambi ya Kuua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…