Nini chimbuko la majina ya magonjwa mbalimbali!?

Nini chimbuko la majina ya magonjwa mbalimbali!?

Uncle Jei Jei

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
1,684
Reaction score
2,156
Ni vizuri kuelimishana katika mambo mbalimbali kama haya kwani kimsingi elimu haina mwisho. Zaman nilidhan magonjwa hubeba majina ya visababishi vya ugonjwa huo, Lakin kuna baadhi ya magonjwa hayahusiani kabisa na visababishi vya magonjwa hayo. Kwa mfano: Malaria, ulcers, ebora, n.k! Je, yamebeba majina ya wagunduzi au majina yametoka wapi!?
 
Wanaoyagundua ndio wanayaa majina kabla hawajayarelease kwa watu.
 
Back
Top Bottom