Nini Chirwa, kuna Bagio

Nini Chirwa, kuna Bagio

namparu

Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
38
Reaction score
15
Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio
 
Ila umesahau spelling. Ni Roberto Bagio..
 
Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio

sijakuelewa mkuu,kwani Chirwa analaumiwa kukosa Penalty au kukosa penalty 2 karibu karibu,Kwani Baggio alikosa penalty 2 kwa mechi za karibu karibu kama Chirwa??
 
Chirwa anabahati tu yakufunga lkn sio mchezaji yule hana hadhi yakuchezea yanga
 
Watu wanamlaumu Chirwa kwa mwendelezo wake wa kukosa penalty. Kuna uhusiano mkubwa kati ya wachezaji wazuri na kukosa penalty. Naanza na Robert Bagio
Kwahiyo wewe hutaki watu, tupambane na hali zetu, tukapambane na ya Bagio, yanatuhusu.
 
Back
Top Bottom