Nini Dawa Asilia ya Chunusi?

KING 2GB

Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
9
Reaction score
4
Habari wana Jf?
Naomba msaada wa dawa asilia ya chunusi,
Asanteni
 
Kunywa maj meng na mazoez kwa sana punguza kula vyakula vyenye mafuta
 
Asali+mdalisi wa unga kamulia na limao kdg...safisha sehem yrnye chunusi pakaa then nawa na maji ya u uguvugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…