Nini dawa ya asili ya kuondoa gesi tumboni?

Nini dawa ya asili ya kuondoa gesi tumboni?

Tis

Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
11
Reaction score
1
Msaada
Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni..
 
Thanks a lot kaka ...ila hyo ya pil I siifahamu...mkongoraa
 
Siufaham pls nitaupataje kwa msaada wa kunolielekeza
 
gesi yko inaambatana na kukosa choo au unatoa tu hewa(kujamba?)
 
Tangawizi.
Tafuna nzima au ichemshe utie asali unywe.
Itakusaidia sana
 
Chukua maji ya kunywa ya uvugu vugu nusu kikombe changanya na baking powder kijiko kimoja kisha kunywa, utayaona matokeo insha allah kwani ni tiba nzuri mno kwa gesi.
 
chukua maji ya kunywa ya uvugu vugu nusu kikombe changanya na baking powder kijiko kimoja kisha kunywa.utayaona matokeo insha allah kwani ni tiba nzuri mno kwa ges
Nilijarbu kufanya ivyo siku nzima nilikuwa vibya mno tumbo kuuma na choo kubadirika rangi
 
Nilijarbu kufanya ivyo siku nzima nilikuwa vibya mno tumbo kuuma na choo kubadirika rangi
Ndivyo inavyotibu au ukisha kunywa unajisikiaje I mean negative effect zake
 
Tafuta habbat souda ya mafuta kunywa kijiko kidogo cha chai baada ya dk 10 unaona mabadiliko
 
Back
Top Bottom