chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Mwenye kujua dawa ya jipu iwe ya kisasa au ya kienyeji tafadhali aniambie kuna jipu eneo langu la kalio la kulia kwa juu tuelewane hapo, si katikati ni la kulia kwa juu nakaribisha majibu na natanguliza shukurani.
I hope mtanisaidia.
I hope mtanisaidia.