chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Ahsante kwa ushauri.Paka spirit ukimaliza kupaka chukua na dawa ya meno ili kulifanya liive subiri kwa siku kadhaa then litumbue uo ndo utakua mwisho wa season 1 subiri season ya 2
Hahahaha!kuna watu wanapenda kujitoa ufahamu mkuu ikabidi niweke msisitizo...!!!![emoji3][emoji3] Juu sio katikati tuelewane apo.
Ushauri wngu tumia dawa za mitishamba zaidi kuliko sindano na vidonge.Hahahaha!kuna watu wanapenda kujitoa ufahamu mkuu ikabidi niweke msisitizo...!!!!
Ahsante mkuu nimepokea ushauri.Ushauri wngu tumia dawa za mitishamba zaidi kuliko sindano na vidonge.
Hahahaha!utani wa ngumi huo...DAWA YA JIPU NI KULITUMBUA MKUU,NADHANI HII KAZI INAMFAA SANA JPM,INGEKUWA VEMA UKAJISOGEZA PALE MAGOGONI
Waweza paka kitunguu swaum alafu subiri for two days au zaidi, ukiona mpaka tako limenenepa na kuwa zito zito ujue mzigo umeiva mtegeshee mtumbuaji alitumbue na kukuminya kisawa sawa mpaka mbegu itoke. Then safisha vizuri waweza weka plasta usichafue boksa alafu piga kazi.