fahad Athuman
Member
- Feb 3, 2017
- 45
- 36
Taja hiyo dawa tafadhalikwa watoto dawa zinapatikana...
ila kwa watu wazima shukuru Mungu iko ndio kilema Chako.
Kwa mtoto. Mdogo dawa ni mizizi ya mbaazi
Ila wakati wa kuikata hiyo mizizi ya mbaazi kuna swaga kidogo kama za kiuchawi hivi
Lazima uvae kaniki au nguo nyeusi
Alafu wakati wa kufukua hiyo mizizi unatamka maneno fulani hivi
Na ni lazima ukafanye hii kazi alfajiri au wakati kunapambazuka, ukishamaliza kuchuma au kukata huo mzizi ni lazima ufukie ilo eneo na kisha uache sadaka ama fedha Silva Silva au umwage mtama au mchele pale kwenye shina la mbaazi
Ukishafika nyumbani kuna namna ya kufanya ili mtoto apone kabisa kigugumizi kwa uwezo wa Allah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unayo ikiwa tayari kutumika tujulishe tuone jinsi ya kuipataKwa mtoto. Mdogo dawa ni mizizi ya mbaazi
Ila wakati wa kuikata hiyo mizizi ya mbaazi kuna swaga kidogo kama za kiuchawi hivi
Lazima uvae kaniki au nguo nyeusi
Alafu wakati wa kufukua hiyo mizizi unatamka maneno fulani hivi
Na ni lazima ukafanye hii kazi alfajiri au wakati kunapambazuka, ukishamaliza kuchuma au kukata huo mzizi ni lazima ufukie ilo eneo na kisha uache sadaka ama fedha Silva Silva au umwage mtama au mchele pale kwenye shina la mbaazi
Ukishafika nyumbani kuna namna ya kufanya ili mtoto apone kabisa kigugumizi kwa uwezo wa Allah.
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani hii ndio tiba mkuu.Ongea taratiibu, ucwe na haraka ya kuongea then feel relaxing wakat wa kuongea ucjitutumue ukikacrika acha kuongea breath in deeply for seconds.... Then endelea ucpende kupanik..