Fadhili Paulo JF-Expert Member Joined Sep 1, 2011 Posts 3,211 Reaction score 993 Nov 16, 2012 #21 Nitajie urefu wako ktk cm na uzito wako ktk kg, kisha nitarudi kukuandikia dozi
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,856 Nov 17, 2012 #22 Makalio makubwa yanatokana na genes, hata ukikonda kijungu kutakuwepo kutokana na saize ya mwili. Squirts sidhani kama yanapunguza, huwa yanaenhance zaidi.
Makalio makubwa yanatokana na genes, hata ukikonda kijungu kutakuwepo kutokana na saize ya mwili. Squirts sidhani kama yanapunguza, huwa yanaenhance zaidi.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Nov 17, 2012 #23 The Boss said: Mnhhnhnnnnn Click to expand... The Boss usigune,kuna wanaume wame barikiwa aisee. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Pionaire JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 1,603 Reaction score 1,135 Dec 10, 2012 #24 sasa mkuu fadhili 2patie contact zako ili 2ipate iyo dozi.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Dec 10, 2012 #25 2k Genius said: aisee poa mkali,ila tatizo ki2 cha mwanza hki Click to expand... pungiza kula sato, ndo mchawi wako.
2k Genius said: aisee poa mkali,ila tatizo ki2 cha mwanza hki Click to expand... pungiza kula sato, ndo mchawi wako.