Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Jamani nililete kwenu hili swala kuna majirani zangu hapa sijui niseme ni wambea waliokubuu au ni wivu umewajaa.
Nisifanye kitu tayari wanaanza kuleta umbea,
Nikipita na mtoto mkali ni lazima waongee.
Yaani ninavyowaambia hapa majirani zangu wamefanya nionekane ni mtu tofauti kabisa maana kitaani wamama wanajua Kwamba Mimi ndio naongoza kuwala watoto zao wa kike.
Yaani nikipita kitaani tu tayari wanajua kuna mtoto lazima nisepe nae na wakati sio.
Na cha kushangaza zaidi hapa mtahani kwetu sijawahi kuishi na msichana yeyote zaidi najichukulia zangu huko maeneo mengine .
Kiukweli hao majirani zangu wananikela sana wananialibia image yangu katika jamii sasa nataka niwatafutie Dawa ya kuwaziba midomo ya Umbea wao sasa sijui dawa ipi itawafaa kiufasaha.?
Zero IQ .