Nini dawa ya majirani wambea (snitches)

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Jamani nililete kwenu hili swala kuna majirani zangu hapa sijui niseme ni wambea waliokubuu au ni wivu umewajaa.

Nisifanye kitu tayari wanaanza kuleta umbea,
Nikipita na mtoto mkali ni lazima waongee.

Yaani ninavyowaambia hapa majirani zangu wamefanya nionekane ni mtu tofauti kabisa maana kitaani wamama wanajua Kwamba Mimi ndio naongoza kuwala watoto zao wa kike.

Yaani nikipita kitaani tu tayari wanajua kuna mtoto lazima nisepe nae na wakati sio.

Na cha kushangaza zaidi hapa mtahani kwetu sijawahi kuishi na msichana yeyote zaidi najichukulia zangu huko maeneo mengine .

Kiukweli hao majirani zangu wananikela sana wananialibia image yangu katika jamii sasa nataka niwatafutie Dawa ya kuwaziba midomo ya Umbea wao sasa sijui dawa ipi itawafaa kiufasaha.?

Zero IQ .
 
shukuru unapita nao unaitwa kiwembe au mpenda kulala uchi
usipopita nao utaitwa choko kabisa

cha kufanya tafuta demu mkali mpaka wajute
hapo utawala wa mtaani mpaka utapata ukimwi
 
Ingia usiku kwa usiku wewe unavyopita nao mchana unadhani watapenda kuona unaenda kufaidi maini? Na siku nyingine watongoze na wao uwale maana huenda wametingwa
 
Usipopita na msichana geto pia watasema jogoo hapandi mtungi.
 
Heshima yako huonekana kwa mwonekano wako,jinsi unavyojiweka ktk jamii ndio nao watakuheshim kwa wanavyokuona. kama unaweza chukua wa mbali unadhan wa kalibu wanakushinda??? Hio ndio hof yao kwa watotozao wa kike. My braza angalia mdada mmoja sahihi na utulie nae. Hata ukipita nae mara kumi per day hawatosema kama wanavyokusema sasa.
 
shukuru unapita nao unaitwa kiwembe au mpenda kulala uchi
usipopita nao utaitwa choko kabisa

cha kufanya tafuta demu mkali mpaka wajute
hapo utawala wa mtaani mpaka utapata ukimwi
Tatizo siyo mtoto mkali watoto wakatli nishapita nao sana kuwakomesha lakini hawakomi
 
Ingia usiku kwa usiku wewe unavyopita nao mchana unadhani watapenda kuona unaenda kufaidi maini? Na siku nyingine watongoze na wao uwale maana huenda wametingwa
Kuna kaukweli hapa maana majirani zangu wengi ni single mothers
 
Ujana Maji ya moto mkuu kumbuka na siku hizi hiyo mitego wanayotuwekea ni ngumu kuluka.
 
Kama ni us wazi ya kawaida ni Ashki tu zinawasumbua, uki pendwa na usipogonga hata wawili watatu unaonekana chokostiki...tafuta kiongozi wao ndio uanze nae,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…