Nini dhumuni la video na picha za utupu?

Nini dhumuni la video na picha za utupu?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Achilia mbali kwajili ya kuuza upate pesa au hata kama huzitumii, lengo na madhumuni ya kurecord video na picha za utupu na kuzihifadhi kwenye simu au laptop yako nini hasa? Ili iweje unazitunza?

Nini hasa kinachochea ujichanue kwa hiyari yako au uchanuliwe na mwenzi wako sehemu za siro zikae wazi kabisa, nawe unakaa vizuri unarekodi utupu wa kike au kiume na unauhifadhi kwa cm yako kabisa, au wew na mwenzi wako mnatumiana kila moja atunze kwenye library yake.

Mie nadhani haina maana, jizuie kufanya hivyo.

Kila moja ni muhimu sana atake full control and outhority with electronic gadgets awapo faragha na mchepuko, mke au mume wa mtu, lakini pia wachumba wasio na uelekeo, wanasiasa, viongizi wa dini n.K.. Itakusaidia kuepuka fedheha ya maisha ya technologia 🐒
 
Kuna kitu kinaitwa "Maridhiano" mkiridhiana kufanya upuuzi mwanzoni mwa mahusiano basi kila jambo lenu mtaliona ni sawa.

Sioni tatizo mtu kuwa na picha za utupu za mpenzi wake ila tatizo ni pale ambapo atashindwa kutambua faragha ya mpenzi wake na kuzianika nje nje.
 
binafsi sidhani kama kuna umuhimu wa kuwa na hizo picha, sana sana naona ni ukosefu wa staha.....JAPO KILA MTU ANA NAMNA YAKE YA KUISHI,NA HATUWEZI KUPANGIANA LIFESTYLE
 
Kucheki marudio ya Game, ili Game ijayo u performe kwa kiwango cha SGR.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom