PISTO LERO JF-Expert Member Joined Mar 8, 2011 Posts 2,819 Reaction score 1,455 Jan 12, 2015 #1 Kwa maana sasahivi jina utukufu limekuwa ndiyo kichaka cha ccm kifichia maovu yake na kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwa heshima naomba tuchambue jina UTUKUFU, TUKUFU,na maana yake.
Kwa maana sasahivi jina utukufu limekuwa ndiyo kichaka cha ccm kifichia maovu yake na kuwapaka wananchi mafuta kwa mgongo wa chupa. Kwa heshima naomba tuchambue jina UTUKUFU, TUKUFU,na maana yake.