Lengo kuu la shetani ni kutafuta wafuasi wa kwenda naye matesoni jehanum, Mungu ameshaidhinisha mateso dhidi ya lucifer kutokana na uasi wake kwa Mungu, harakati zote za kuitawala dunia ni namna kuu aifanyayo shetani ili kupata wafuasi wa kuangamizwa naye siku ya kiama na mwisho wa rehma ufikapo, shetani anatumia njia nyingi za ulaghai kwa wanaadam ili kuwafanya wamsujudu yeye na kuwa upande wake anatumia njia kama:-
1.kutoa utajiri na ukwasi kwa wafuasi wake ili kuwavutia wengine wamfuate shetani
shetani ana miliki vingi vilivyo na mvuto wa kutamaniwa ( rejea shetani alipomjaribu YESU, alimuonyesha milki na tawala zote anazomiliki na kumuahidi kumpatia iwapo angemsujudu)
2.kutumia nguvu za majeshi ya wafuasi wake,
hapa shetani amejipenyeza kwenye mamlaka kuu za kiserikali na dola, anaamru idara za kijeshi za mataifa ya wafuasi wake kushambulia na kuangusha dola nyingine ili kusimika misingi ya utawala wake, hapa utaona jinsi mataifa ya kimagharibi yalivyoungana na kutengeneza umoja wao wa kujihami NATO ambao kimsingi hupigania manufaa ya shetani, mfano kuangusha dola zote za kiarabu na kusimika utawala wa kishetani ni mpango endelevu unaolenga kutwaa mamlaka na kumpa shetani.
3. kupitia jumuiya na matangamano ya kimataifa.
shetani ameandaa misingi iliyo chini jumuiya za kimataifa inayolenga kulinda na kuendeleza matakwa yake, UN ndio chombo kikuu kinacho/kilichobeba dhamira za kishetani ( kwa undani wake) ifahamike kuwa shetani hufanya kazi zake kupitia jamii za siri (secret societies) ambazo maudhui na mienendo yake huratibiwa kwenye mashirika mbalimbali ya umoja wa mataifa, mfano shirika la haki za binadam linatetea haki za binadam lakini pia linatetea haki hizo kwa mlengo ya uhuru wa kishetani, mfano haki za mashoga, haki za ndoa za jinsia moja na haki za biashara ya ngono, hivi vyote ni harakati za shetani kusimika nguvu yake na dhambi duniani.
4. kupitia jamii za siri (secret societies)
hizi ndizo jamii zenye machimbuko na misingi ya kishetani tangu zamani za kale, jamii hizi hufanya kazi zake kama mashirika au taasisi za kidini, jamii hizi zina nguvu na ushawishi mkubwa kwa watawala na serikali nyingi duniani, jamii hizi ziko katika makundi makuu matatu:-
i. FREEMASONS, ni jamii inayoamini katika uhuru wa matendo na fikra katika ujenzi wa dunia hii bila kufungwa na sheria yoyote au amri za Mungu, ni tawi la jamii za siri linaloamini katika uhuru na haki ( in favor of satan/lucifer)
ii. Illuminant
ni jamii inayomtukuza shetani/lucifer kama ndio nuru ya dunia ( the prince of light) inayoangaza pande zote za dunia na kutawala.
iii. skull and bones
ni jamii ya siri inayotekeleza mauaji ( assassinations ) kwa watu au jamii inayopingana na matakwa ya shetani, hii imejikita sana huko MAREKANI mfano mauaji ya SADDAM HUSSEIN, MUAMMAR GHADDAF, n.k jamii hii hutumia nguvu za kijeshi na dola.
HAKUNA FAIDA YOYOTE ITAKAYOPATIKANA CHINI YA UTAWALA WA SHETANI, KWA MAANA LENGO LAKE NI KUIANGUSHA DUNIA NA WAKAAMO KATIKA MAASI DHIDI YA MUNGU,
VITA, MAGONJWA, MAUAJI NJAA NA MAASI NI MATOKEO YA MACHUKIZO YA UTAWALA WA SHETANI/ LUCIFER.
MUNGU WETU AWE NASI.