kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kama kuna kaukweli fulani hivi. Labda kwa vile wanajeshi wengi wakiingia ktk ajira huchukua mikopo fasta na kuanza kumiliki ist, spacio na vits na hizo ndio gari zinazoongoza kuwekwa manyoyaMagari ya wanajeshi yanaongoza kuweka hayo mavitu mpka gar inakua kama saluni ya mkongo
Dah ila gari nyingine zinaonekana kama zimewekwa mataka taka broNi Kama urembo afu Kama cover
Inasaidia sana dash isichakae Sana na jua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanatumika kama pillow wakati wa kula tunda kimasihara.
Daaah blaza umegusa mule mule. Sijawahi kuona range rover au v8 iliyowekwa hayo mavitu.Inaategemea na gari.
Huwezi kukuta mtu wa discovery 4 anaweka hayo mavuzi, Dash inakuja imenyooka leather za nguvu ila ukiingia hizi baby walker lzma utafute hilo vuzi la mzungu uweke la sivyo itakuwa kichekesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenikumbusha kuna mjomba angu alikuaga na Suzuki Normade miaka ya 1998 huko alikua anaweka urembo wa maua maua yale ya plasti ya kutambaa tambaa kwenye dashboard. Tumetoka mbali sana. Ila huu mtindo wa kuweka urembo wa manyoya ndio nimeuona kipindi hiki.Ushamba tu...
Miaka ya zamani enzi za TZxxxx watu walikiwa wanayaweka sana hayo madude au vitambaa, naona kumbe bado huo utaratibu ungalipo...
Hapa dar wapi nitapata wanaposhonea vizuri kava za ngozi?Hapo ni kuremba gari na kupunguza dash kuungua na jua. Ila kwangu mimi nsona bora ushonee ksva za ngozi sio kubwa ila zinakua kama zimekuja na gari zimenyooka sana manyoya naona kwenye gari za wadada zaidi
Safari auto. Au pita na ukanda ule alipo dick sound wapo vijana wanapiga kazi safi hawana umaarufu tuHapa dar wapi nitapata wanaposhonea vizuri kava za ngozi?