Nini faida ya nyele sehemu za siri kwa wanawake na wanaume?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?

Nimeuliza watu wa karibu wamekuja na majibu tata, eti kuwa uyaone (sentensi ninayoichukia kushinda zote duniani).

Ninavyofahamu unasomeshwa na ndipo unakuwa mbobezi. Haya wenye elimu tupeni ushuhuda iliyonyolewa au iliyokuwa na nywele aka kichaka.
 
Kuwa uteseke na dunia
 
Kuwa uelimike!!!!
 
Wakati mwingine ukubaliane tu na maumbile yako. Vipi kama ungeumbwa na nywele/manyoya mwili mzima kama ilivyo kwa wanyama wengine?
 
Ipo hivi, zile nywele za sehemu husika zina faida au hazina faida?
Kila unywele mwilini una kusudi lake, ila kutojua umuhimu na thamani ndiko kunatufanya tuzinyoe, ukitazama watu walioishi zamani kama Wafalme, Makuhani, Manabii na Mitume hata wasomi akina Plato and the like hawakunyoa


Plato


Socrates


Yusufu Baba wa Yesu


Mfalme Herode
 
Una umri gani kwanza?

Zipo kwaajili ya kulinda na kuzipa hadhi sehemu za siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…