tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,437
replying to King'asti....kwa vile taraka imekuwa na burden of prove, familia zote mbili na wanandoa wameridhia kutengana kwa muda usio rasmi lakini in real sence wametalakiana maana nasikia separation isyo na suruhu kwa zaidi ya miaka 3 ni talaka. nafikiri nimekujibu....
<br /> <br / kuna maandishi yyt walioandikishana kuwa wametengana na kugawana mali?separation imefanyika at family level yaani familia za pande zote mbili zimeridhia kila mtu achukue chake na ndivyo ilivyokuwa kwa sasa kila mtu anaishi kivyake. Evidences at family level ilitosheleza kuachanisha ndoa lakini mahakamani ikawa ngumu. Yaani hawa watu kwa sasa wameshetengana sasa jamaa anauliza akichuma mali kwa sasa,nke atadau?