Nini hasa maana ya utu?

Kinyume cha UTU sio unyama, minadhani kinyume cha utu ni kukosa utu. Na mtu hakosi utu moja kwamoja sababu unaweza kuonesha kukosa utu katika circumstance A, na ukaonesha utukatika circumstance B.

Kinachonitatiza ni kuwa sometimes maana ya neno "utu" haionekani kuendana naufafanuzi Dalai lama aliotoa.

Kama FaizaFoxy alimkejeli mtu aliye hai, ningeelewa kwa nini aliadhibiwa kwakosa "dhidi ya utu" (kama tukifuata the Dalai lama definition of utu), lakinikama yule mtu ni marehemu, ingawa FaizaFoxy anakosa heshima kwake, hakunakutokandamiza kwa hisia zilizo hasi kumfanya mtu mwingine awe na hisia chanya.
Nilivyoona mimi, kwani hali ya kuwa binadamu inamfanya mtu astahili heshimakuliko wanyama/vitu (or so it is commonly agreed on), kosa FaizaFoxy alilotendani kutomheshimu marehemu anavyopaswa kuheshimiwa kwa sababu ya ubinadamu/utu wake(ingawa mtu yule ni marehemu na hivyo tunachokisema/fanya sasa hakina athiri yoyote juu ya emotions zake). Kwa hiyo, hukubali kwamba neno "utu"yafaa tulifafanue instead kama "the inherent human entitlement torespect" (or simply "human dignity") katika muktadha hii?

I think it should be kept more in mind that its meaning may vary depending onthe way it is used.


I must have confused the words humane and human. Would it be proper to say theSwahili equivalent is respectively "utu" and"ubinadamu" with the first focusing on positive personality traitshumans can have and the second all the traits which are often found in humans(regardless of good or badness)?


I think that's something nobody knows for sure. It's also the question I washoping to read your answer to, since some animal behaviors do not (seem to)cohere with the idea that animals purely act on instinct (as
EMT has shown with his veryinteresting video).
That which made me think that you maybe believed in an opposition between utuand unyama (just like many people apparently do) is the fact that the Dalailama definition of utu specifically refers to a
human ability. If we can talkabout utu with non-human beings, I think we should remove the word "human" fromthe definition, so as to avoid confusion or wrong interpretations in thefuture. I mean, correct me if i'm wrong, but that's also what makes it soawkward for you and EMT to say the leopard has utu. It just sounds... notright.


I understand your point. It's probably because the ability described in theDalai lama definition of humanity has for so long been believed by many to be ahuman peculiarity that even now that this belief is questioned, we keep using this term.

EDIT: And hi to you too! I forgot to return you the greeting after writing my post. I hope I didn't appear as arrogant, it wasn't intentional.
 
No, hapo nilidescribe hisia chanya. Hisia hasi ni zile zinakufanya ujiskie vibaya. I believe there is an emotionmeter built within each of us.
Emotion nazo sio black or white... kuna ambazo zimekaa mized kidogo. unahitaji kuzichambua kidogo kwa kujua kama ni hasi au chanya, ila usitumii reasoning, tumia to 'the way you feel about them, beyond any external influence'.
 
You are confusing me now... I think X ndio utu, and it is only called UTU by lack of a better word!
 
@ Makedha, nashindwa kukunukuu because my comment is so short: I agree with kwa 90% of your post. the remaining 10% is still under scrutiny, nikielewa nitakuja kujibu.
 

LoooLzzz!!! Emotion meter !!!!! ... ..HH am coming soon about this! Will try to show you all emotions which can bring a person deceases and the one which will not ... AND if we can justify that ... we will know which emotions are good to us or bad to us ...I have seen somewhere they call it hisia haribifu and hisia njema ... keep n touch!!
 
You are confusing me now... I think X ndio utu, and it is only called UTU by lack of a better word!
... No nothing like confusion... I am totaly agree its UTU ... But when they defined Emotional intelligence thay said its intelligence not functioning as emotional rather its CONSCIOUSNESS ..yaani Ufahamu! In that case UTU is function of Consciousness the Ufahamu and its not Hisia the emotions...

This will make all very ease ... if we all know that UFAHAMU and HISIA are not the same!!
Utu huuwezi kuwa Hisia!! AU?
 
I can't wait! nasubiri hapa hapa, nakesha!

Ok, nimeelewa, and that is how I understood it anyway: Beyond influence ya hisia, ndipo utapata UTU.
 

I can't wait! nasubiri hapa hapa, nakesha!

Sorry RussinR I saw it this morning! hhah!! najua hatujagusia hiyo ..the emotions and the Emotional Parasites ..Lol!!
In some of the post here ..lokks like ..hatujui hisia hasi yaani waht is negative emotions ... i know that negative emotions are classified so ..cause of their effects to our HEALTHY!

even if you may say ANGER is positive in some aspects ..but if it can be proved to be ditremental to our heathy ..lazima itawekwa kundi la Negative emotions bila kujala huwa inatumika je...

... So am saying no body doesn't know ..what is negative emotions ...
... In this case its no a joke neither a surprise that ... there is computer programs to detect only negative emotions..Lol
... Na kumbuka there some scholl of thought wich ..define UTU kama uwezo wa kutokuzalisha Negative emotions ... under any type of stress, pressure and tensions...Lol
... Kwa hiyo lazima tujue wheteher we wants or not ...yule Chui wa EMT ana UTU?
... Is UTU scientific?
 
...This will make all very ease ... if we all know that UFAHAMU and HISIA are not the same!!
Utu huuwezi kuwa Hisia!! AU?

Ok, nimeelewa, and that is how I understood it anyway: Beyond influence ya hisia, ndipo utapata UTU.

Kwa hiyo BASI!

UTU ni UFAHAMU ndani ya MTU unaojieleleza kwenye fikra, kauli na Matendo ya MTU!
 
Huu mjadala ni mkali nimejaribu kusoma message naona shughuli nzito.
Napata kigugumizi kusema nini maana ya UTU moja kwa moja, kwani nakumbuka kuna msemo wa kiswahili unasema UTU NI BORA KULIKO KITU.
Kwa hiyo basi mimi nfikiri Utu ni ile hali ya kumjali mtu mwingine pasipo kuangalia mapungufu yake. Ila msiniulize nini mana ya Kumjali.
 

Hakika mimi sikuulizi ni nini maana ya KUMJALI lakini nina hakika utaulizwa subiri waje...!!!

Mimi nauliza kama ... "Utu ni ile hali ya kumjali mtu mwingine pasipo kuangalia mapungufu yake.."

Kwa hiyo mwenye utu hapo atakuwa ni nani?

Mwnye mapungufu .... ambayo hayajaliwi ... au Yule anayejali bila kutilia maanani mapungufu?
 
Dah huu uzi bado upo active?
Ngoja niupite nione kama tafsiri ya utu imepatikana

Tafsri sahihi ya UTU imekubalika kuwa ... ni UFAHAMU maalum usio patikana kwa wanyama au kiumbe kingine chochote unapotafsiriwa kupitia fikra kauli na vitendo vya MTU!!

UTU ... Ni Ufahamu!!

UTU .. sio hisia, wala fikra ...

Undani wa mwanadamu una madaraja matatu tu!!

AKILI, HISIA na UFAHAMU!!

Ufahamu ambao ndio undani wa juu kabisa , kama utashi unapotafsiriwa kupitia akili, hisia na vitendo ndio UTU!!

Mnyama hana ufahamu unaoitwa utashi ...hivyo .. Mnyama hana UTU!!
 

Viumbe wote hai wana UASILI maalum unao wafanya kuwa "Unique" !!

Kuna uasili ndani ya Watu, mimea na wanyama ..ambo unaojieleleza nje unakuwa ndio tabia mbalimbali zianzofanya kiumbe kimoja kuwa kama kilivyo na tofauti na viumbe wengine wote!!

Kuna uasili ambao uko responsible na kufanya kundi la wanyama, mimea na watu kuwa kama lilivyo!

Watu wanauwezo wa kuusaliti uasili wao hivyo kupotoka kwenye uasili ambao ndio utu wao! Wanyama na mimea hawana uwezo waal tamaa ya kuusaliti au kuwa kitu kingine zaidi ya uasili wao!

Watu wanapouasi na kuusaliti Utu wao si sahihi kuwaita Wanyama!Kwani wanyama wako sahihi kwa kutokuusaliti uasili wao!
Watu waliousaliti Uasili wao wamefanya kosa kuusaliti kwa makusidi utu wao, lakini wanyama hawana kosa la kuusaliti uasili ambao ni uasli wao.

Mtu aliyefanya kosa la kupinga Uasli ambao ni Utu wake ni Mkosaji!
Mnyama sio mkosaji kwa kuwa mnyama!

Itakuwaje sahihi Mtu aliyekosea kwa kusaliti uasili wake aitwe Mnyama ... ? Wakati mnyama yuko sahihi kwa kutokuusaliti unyama wake?

Kumuita Mtu aliyesaliti Utu wake Mnyama ni kumpa sifa ya usahihi wa Mnyama ... ambao huyo mtu wala hana! Mtu aliyepoteza utu wake... yuko chini yaani wala hana thamani ya kuwa kwenye kundi la Wanyama, ambao wao wanheshimu na kutokuusaliti uasili ambao ni unyama wao!

Kwa hiyo kinyume cha UTU KAMWE SIO UNYAMA!!!

Lazima kutafuta jina lingine kwa mtu aliye kuosea na kupotoka kwEnye utu wake ... sio kuitwa mnyama ..kumuita mnyama bado ni kumpa hadhi na heshima ya usahihi wa wanyama ambao HANA... NI VEMA Aitwe jina lenye sifa inayomuweka chini ya HADHI ya wanyama ambao wao hawajakosea Uasili wao!

Na jina lao liwe ni ....?
 
AshaDii,

Ninaamini kuwa viumbe wote hai wana UASILI unao watofautisha kwa makundi yao na kuwapa utambulisho wao!

Kila mwanadamu kwa kuwa mwanadamu tu, kunampa utambulisho ambao ni asili ya uanadamu ambao wenyewe unatambua kile kisichobinadamu na pia kuweza kujitambua chenyewe kama binadamu. Kwa hali ya kawaida hakuna Mtu anayefikiri yeye ni kundi moja na wanyama au mimea ... its self evident by just being human you automatically have the ability to realize that your not animals neither plants!

Tofauti inatoka wapi hadi sasa tunajadili na kupishana kuhusu dhana ya UTU na HISIA HASI (NEGATIVE EMOTIONS)!!?

Ni kwa sababu kama miili yetu ilivyotofauti kwa namna mbalimbali kutokana na sababu mbalimblli, pia UASILI ambao ni UTU wetu unakuwa umekabiliwa na kuathirika kwa namna mbalimbali zinazoufanya kutofanana katika maono ,,utambuzi na uelewa!

Uasili wa mwanadamu ..unakuwa kwenye mabadiliko kadhaa na hatimaye kufikia kuwa UTU uliokomaa na kujitawala kama UTU huru!

Kwa hiyo kuamua kitendo hiki ni cha Utu au zipi ni hisia hasi nk ...inategemea kiwango cha kupevuka na kukomaa kwa UASILI ambao ni UTU wa mtu au jamii husika!
 
We're getting closer eh?

EMT ... We have worked on it!!

As you can see all the stubborn and chronic questions they have all answers in place .... hope no more questions ..lol!!
 
Reactions: EMT
I'm not saying that you're wrong, but there's something I find confusing about your reasoning, Azimio Jipya.

First, RussianRoulette said: utu = ability to deliberately suppress negative emotions to promote the positive ones.
You said that you agreed with this definition.

Baadaye, RussianRoulette akaongeza: emotional intelligence = ability to manage your emotions.
A high emotional intelligence leads to positive result, she said. So, (may she correct me if I'm wrong) I concluded that by "managing your emotions", she meant suppressing the negative emotions to promote the positive ones. Kwa hiyo, emotional intelligence = utu, right?

But then, Azimio Jipya, and that is the confusing part, you said that:
Utu = expression of something else you called x. (yes, because emotional Intelligence = utu, according to the definition the Dalai lama gave)
And you then said it was possible that: x = utu.
In other words, you said it is possible that: Utu = the expression of utu?

It doesn't make sense. Unless utu is not the ability to deliberately suppress negative emotions to promote the positive ones, in which case I don't understand why you said you believed it was there…

You then concluded that x = consciousness, something animals don't have.
Could you define what you mean with the word "consciousness"? I derived from context that it could mean: "the state of being fully aware of what's going on around you and so being able to freely choose to behave a certain way", is this correct? And if it is, why do you seem so sure that animals don't have consciousness, even though EMT posted a video about an animal which's behavior contradicts this belief?

I don't remember reading you do so, but maybe you have already clearly explained yourself on this and I didn't get it, in which case I apologize for asking you to do it again and I'd be thankful if you were willing to spend some of your time doing so.
 
Azimio Jipya,

Hapo kwenye red, kwa hiyo kile kitendo cha chui kwenye video hapo juu kilikuwa sio cha "ufahamu muhimu" kwa sababu "ufahamu muhimu" haupatikani kwa wanyama? Unafikiri wanyama hawana ufahamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…