Nini hasa Maana yake:Koti twalivaa wakati wa baridi ,tutalivua wakati wa joto..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
Haya maneno yalitamkwa na mmoja wa wahasisi wa Muungano.Anaejua atuambie
Maneno hayo yalimanisha nini.
 
Maana yake ni kwamba muungano sio lazima,zanzbr kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…