Babu Ubwete
Senior Member
- Jan 26, 2008
- 169
- 31
Naomba kufahamu maana wengi wao wanaonekana kwenye barabara wakideal na magari, daladala, Kwenye supu muda wa kufanya kazi, Kwenye vijiwe vya madalali wa magari mida ya kazi kama pale magomeni chipolopolo. Je uzalishaji wao unapimwa kwa target zipi kama individual policeman. Kuzuia maandamano, Kulinda viongozi etc. Imetokea tabia ambaypo si nzuri ya askari kugeuka wote wanasimamia usalama barabarani ilihali wapate chcohcote kitu. Nadhani ni lazima tupunguze matumizi ya serikali ikiwemo kupunguza watumishi wasioingiza pesa yoyote haswa hapa mjini. Askari wanahitajika sana Tarime,Rorya,Mbamba bay ambako huduma zao zinahitajika kuliko kujaa kwenye mitaa ya dsm.