Nini hasa sababu kuu ya kubadilisha pesa?

Mkuu kulikuwa na noti shilingi kumi pia, hujapata picha yake?
 
Mwenye taarifa tafadhali noti za dola zimekwisha badilishwa mara ngapi?
 
Hapo kale nadhani zilikuwa zinabadilishwa sababu ya kubadilika kwa uongozi? huwezi kuwa Rais halafu sura yako haipo kwenye noti, lakini wa siku hizi wameona hilo siyo dili, dili ni kilichofichika nyuma ya pazia (10%) kati ya huyo atakayepata dili la kuchapa hela mpya na watoa tenda! Mbona sisikii mataifa yenye sarafu zenye nguvu yakibadili sarafu zao kama tunavyofanya Bongo? Hela ya kulipia huo mchakato mzima wa kuchapa hela mpya tunapata wapi? kwanini zisielekezwe kwenye mambo mengine?
 
Mwenye taarifa tafadhali noti za dola zimekwisha badilishwa mara ngapi?
The dola have a long history than almost all other currency but currently update refer From 1996
In the first significant design change in 67 years, United States currency was redesigned to incorporate a series of new counterfeit deterrents. The new bills were issued beginning with the $100 bill in 1996, followed by the $50 in 1997, the $20 in 1998 and the $10 and $5 bills in 2000. The Bureau of Engraving and Printing announced that new designs would be undertaken every 7-10 years to stay ahead of currency counterfeiters.To stay ahead of currency counterfeiters, the U.S. government announces new designs to be issued. For the first time since the Series 1905 $20 Gold Certificate, the new currency will feature subtle background colors, beginning with the new $20 bill in October 2003. Different colors will be used for different denominations. This will help everyone - particularly those with visual impairments - to tell denominations apart. The new $20 bill features subtle background colors of green, peach and blue, as well as images of the American eagle.

Visit History of the U.S. Dollar Currency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…