Moja ya sababu za kubadili pesa kwenye awamu ya kwanza ilikua ni kuwadhulumu watu. Baada ya serkali kufilisika kwa uzembe na ufisadi huanza kuchapisha pesa ili kulipa mishahara ya wafanyakazi na gharama nyinginezo. Sasa pesa zinapokua nyingi mikononi mwa watu thamani yake huanguka ndipo serikali huja na njama za kubadilisha pesa na kuanza kuambia watu kua hawatabadili zaidi ya kiasi kadhaa kwa mtu au kumdadisi wapi kazipata na kumyang'anya pesa zake na kutangaza ubadilishaji utadumu muda mchache na asie wahi kubadili basi pesa za zamani hazitambuliki. Iliwafanya wafanyakazi wa mabenki nchini kuwa mamilionea sababu walikua na sehemu yao kwa kila mteja anaekuja kubadilisha pesa Mtanzania kadhulumiwa sana !!