Pamoja na ufisadi wa 10% nafikiri wakisha kula hazina ikiishiwa fedha, na vichwa vyao si creative vya kukusanya kodi na kusimamia raslimali za taifa ili kukidhi mahitaji ya ndani ya nchi kama ulipaji mishahara watumishi wa umma, wanaamua kuchongesha pesa nyingine.
Hii material ni karatasi za mgororo? laiti wangekuwa wanatengeneza kwa kutumia special thin linen kama dola. wasingekuwa wanabadilisha noti kila mara.