MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ni kweli mkuu, tuwaulize wahenga wapya au wazamani?Salamu ya muda mrefu hasa kwa marika ya aina moja mfano vijana... Mimi yenyewe nimekua nimeyakuta yanatumika... Asili yake tuwaulize Wahenga labda
Usisahau na yale ya Shikamoo Marahaba
Wazamani sanasanaNi kweli mkuu, tuwaulize wahenga wapya au wazamani?
Muhenga katika ubora wakeIlianza kama salamu ya kupromote condoms kwenye miaka ya tisini na nne hadi 95 hivi.
Kulikua na tangazo linasema, 'mambo'? Afu mdada anaitikia, 'mambo kwa soksi'. Baadaye sasa watu wakawa wanatumia kama salamu.. Mtu anakwambia, 'mambo'? Wewe unamjibu 'poa/safi'.
Thats as far as I can remember.
Nalikumbuka hili tangazo lakini salamu hii ilianza kabla nisawa na ilvyo mambo kwa yesuIlianza kama salamu ya kupromote condoms kwenye miaka ya tisini na nne hadi 95 hivi.