Nini hatima ya elimu yetu

ngumukumeza

Senior Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
113
Reaction score
20
Ndg wapandwa nimeona nilite hii mada tuijadili mana mimi binafsi sielewi hatma ya elimu yetu mana yamezuka madudu mengi(1) kujengwa shule za kata zisizo na walimu wala vitabu, (2) gharama kubwa ktk elimu uku kipato cha mtanzania kikiwa kidogo (3) viongoze kuichezea elimu kwa kufanya maamuzi ya kipuuzi eg MUNGAI kuunganisha masomo (4) kupuuzwa kwa walimu kuhusu madai yao (5) ubovu wa viongozi wa wizara husika, na mengine mengi. ni kitu gani kifanyike ili tuepushe janga ili uku tukijua kuwa vitu ivi vyote vinategemeana kuondoa au kudharau kingine ni moja ya sababu ya kuporomosha kingine. mwl wangu aliwahi kunipa mkasa wa karani mmoja wa mahakama aliyeondoa KOMA ktk hukumu ya JAJI wakati akiichapa, Jaji alihukumu hivi ktk kesi ya mada enzi izo "kill him not,let him go" karani akaondoa koma akachapa "kill him,not let him go" ni maana yangu hapa,ni kwamba kila jambo linao umuhimu wake. je nn kifanyike wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…