Barabara ipo kwa standard ya miaka hiyo. Au ulitaka afanye kama Magufuli ambaye kajenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato?Akashindwa hata kabarabara kakufika pale Nyumbani
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Kumbuka falsafa za Nyerere kuwa Tz hatuwezi kujiita huru kama Afrika yote haijawa huru, hii ili apply hadi kwenye usawa kimiundo mbinu
Leo Africa hiyo ndio wanatuona mafala na kutushangaa tumekalia Uchumi.Kumbuka falsafa za Nyerere kuwa Tz hatuwezi kujiita huru kama Afrika yote haijawa huru, hii ili apply hadi kwenye usawa kimiundo mbinu
Haijalishi alitimiza wajibu wakeLeo Africa hiyo ndio wanatuona mafala na kutushangaa tumekalia Uchumi.
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Jamaa alikuwa anajijengea ofisi nyumbani kwake - kumbe safari yake ilikuwa ishafika maskini.Rais Jakaya Kikwete atembelea Urambo na Ofisi Mpya ya Mbunge na Spika wa Bunge Samwel Sitta iliyogharimu Millioni 170
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuzindua rasmi Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki. Aliyesimamam ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki Mhe. Samuel Sitta (Kushoto) ambaye pia ni Spika wa Bunge. Ofisi hiyo imeghrarimu jumla ya Tsh 170 Million, ikiwa ni mpango wa serekali kujenga ofisi za wabunge katika kila majimbo yote nchini.
Rais Jakaya Kikwete akikagua Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki mara baada ya kuizindua rasmi mjini Urambo. Kulia kwake ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta. Ofisi hiyo imeghrarimu jumla ya Tsh 170 Million, ikiwa ni mpango wa serekali kujenga ofisi za wabunge katika kila majimbo yote nchini.
Mbunge wa Jimbo la Urambo Mashariki Mhe. Samuel Sitta ambaye pia ni Spika wa Bunge akiwakaribisha waheshimiwa wabunge mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege Urambo kuhudhuria ufunguzi rasmi wa Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki. Kushoto ni Mbunge wa Mafia Mhe. Abdukarim Shah.
Kwani Jimbo halipo? Na Mbunge halina?Jamaa alikuwa anajijengea ofisi nyumbani kwake - kumbe safari yake ilikuwa ishafika maskini.
View attachment 433171 View attachment 433169 Huyu mhe (rip) alijenga ofisi ya spika jimboni kwake urambo,inatumika kwa shughuli gani?
napendekeza ifanywe dispensary au itafutiwe matumizi mengine ya umma
Kwaiyo ulitaka na yeye afanye kama mobutu? Sio kwamba hakupapenda alifanye kile kinachoitajika kwa wakati hule
Kwakifupi Mwalimu alifaulu kitaifa na kufail kijamiiKwaiyo ulitaka na yeye afanye kama mobutu? Sio kwamba hakupapenda alifanye kile kinachoitajika kwa wakati hule
Yeye alifocus kwenye kuboresha maeneo ya makao makuu ya mikoa na wilaya za wakati huo hapo kumbuka Butiama ilikuwa Kata sio wilayaKwakifupi Mwalimu alifaulu kitaifa na kufail kijamii
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Umewahi kufika Butiama?Yeye alifocus kwenye kuboresha maeneo ya makao makuu ya mikoa na wilaya za wakati huo hapo kumbuka Butiama ilikuwa Kata sio wilaya
Ndio