Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Maisha yanakwenda kasi sana! Yanapanda na kushuka kwa kasi hiyo hiyo...yanakata kona na kupita kwenye makorongo kwa kasi ileile. Hayakusubiri na hayasubiri mtu...!
Hili ni pambazuko jipya waliolia wanacheka! Waliocheka wanaliwaa..! Waliopata wanakosa na waliokosa wanapata!
Huku ni kilio kule ni kicheko. Kule ni taharuki...! Huku ni shangwe...! Maisha hakika yanakwenda kasi sana.
Hayuko tena kijana matata Cyprian Musiba mwenye tambo na mafaili ya watu wakubwa! Mzalendo mpigania tumbo ..HAYUKO na HAYUPO.
Ni dhahiri shahiri kuwa kweli sasa unapigwa mwingi.. Musiba si wa kutoweka mitandaoni! Musiba si wa kujificha akiogopa watu.. Musiba wa kuadimika kwenye press conference akitisha kukejeli na kuwazushia watu tuhuma! Musiba si wa kuwakimbia watu waliomuita boss na kumnyenyekea mno!!! Sasa wamemgeuka! Wanamtafuta wampeleke kwa pilato..! Wanamdai mishahara ya robo mwaka sasa! HANA!
Mafanikio yake kibiashara kwenye tasnia ya habari hayakuwa haba na alipanda kwa haraka sana! Alijivuna na kujivunia mafanikio na ilikuwa mwaka huu afungue kituo kikubwa cha kisasa cha TV kwa jina la TANZANITE TV.
.Nadhani leseni ilikuwa tayari
.Nadhani masafa yalikuwa tayari
.Nadhani kibali kilikuwa tayari
.Nadhani mitambo ilikuwa tayari imewasili bandarini...
.Nadhani hata wafanyakazi walikuwa tayari
.Nadhani kilichokuwa kinasubiriwa ni uzinduzi tuu..! Uzinduzi mkubwa kabisa...!!!
KISHAPO nadhani kuna kitu kibaya kikatokea ghafla na kuharibu mipango yote...! NADHANI ndio maana kafa bila kufariki na wafanyakazi wake wanamsaka kila kona!
Nadhani kuna somo la maisha anajifunza kwa njia ngumu mno...Nadhani AMEKOMA na hajui future yake ninini...!!! Je ni Segerea!?