Nini hatima ya Tanzanite TV?

Kuna kipindi hata humu niliwahi kulalamika kuhusu mwanaharakati huru kutumia TV yake kuchafua watu, niliishia kejeli kuna watu walisema nimeshaguswa nitulie dawa iingie na baadaye uzi wangu ulipotea(sijui ulifutwa kwa sababu gani)
Mataga pori ndiyo walikua wanamtetea huyu mpuuzi.
 
Mshana Jr.

Kumtumainia mwanadamu huleta mtego. Kila zama na nyakati zake na matajiri wake. Bali wamtumainiao Mungu husimama imara na jasiri kama Simba.
 
Usifananishe Free Media au Mwanahalisi na vitu vya kipuuzi tafadhali
Zote ni media za kipropaganda zenye upuuzi mwingi tu, uhai wake unategemeana na status ya boss ktk utawala husika

Ni kama vile baadhi ya vyama vya siasa vinavyoamini bila mtu fulani kuendelea kuwa kiongozi wao basi chama hakiwezi kusonga mbele
 
Tofauti ipo.musiba anategemea hicho kijarida kupata ugali.mbowe ana mishe nyingi tofauti na hicho kijarida chake,mbowe family wako vizuri tangu mkoloni,musiba kwao ndio aliyekuwa katusua maisha
 
Tofauti ipo.musiba anategemea hicho kijarida kupata ugali.mbowe ana mishe nyingi tofauti na hicho kijarida chake,mbowe family wako vizuri tangu mkoloni,musiba kwao ndio aliyekuwa katusua maisha
Good explanation, asante.
 
Hao ndo wale waliokua wanajifanya wana uchungu sana na nchi kuliko wengine kumbe walikua wababaishaji tu wanao nufaika kijanja na awamu iliyokuwepo.Sasa toka awamu imepita wanatapa tapa hawajui washike wapi.
 
Ni njaa na madeni simu hawapokei wanaishi kwa kujificha
 
Good explanation, only open minded ndo watakuelewa

Ila sikushauri ubishane nao, hutoweza.
 
Reactions: tyc
Kuna kipindi hata humu niliwahi kulalamika kuhusu mwanaharakati huru kutumia TV yake kuchafua watu, niliishia kejeli kuna watu walisema nimeshaguswa nitulie dawa iingie na baadaye uzi wangu ulipotea(sijui ulifutwa kwa sababu gani)
Hapo bado Bernad Membe hajaja na madai yake
 
Nimependa ulivomaliza na kufunga mlango !![emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…