Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Kitu ninachojaribu kukifikiria haraka haraka ni kuhusu hatima ya huyu jamaa yake Diamond ambae ni dj wake,Maana kila shoo sasahivi D anafanya na live band kitu ambacho ni habari mbaya sana kwa Romy jons,,Mi napenda kumshauri jamaa atafute ofisi maalumu awekeze maana hiyo ajira ni kama imepotea kiaina..Romy umenipata?sorry lakini,,mimi siyo heta,Karibuni wadau.