Jiraniyetu
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 350
- 333
Siku hizi namuona na Tudd ThomasMie nae kila.za, kwan dj huwa hausiki kwenye live show, maan kwenye show flan za mbele huwa nawaona madj pia,
Vice president ni q boy.Huwezi kuwa karibu na Diamond afu ukakosa cha kufanya labda iwe uzembe tu!!
Afu bado ni WCB vice president, anahusika kwenye baadhi ya maamuzi ya kampuni kwahiyo hatoki patupu..
Kama anashindwa kumpa tafu ndugu yake Abdukiba ataweza mtu baki...??Aende kwa Kiba tu aachane na mambo ya kununua viewers.
Si unajua mijitu mingine wao vidole vinaongea kabla ubongo haujaanza kazi.Mie nae kila.za, kwan dj huwa hausiki kwenye live show, maan kwenye show flan za mbele huwa nawaona madj pia,
DJ kahamia kwenye connectionKitu ninachojaribu kukifikiria haraka haraka ni kuhusu hatima ya huyu jamaa yake diamond ambae ni dj wake,Maana kila shoo sasahivi D anafanya na live band kitu ambacho ni habari mbaya sana kwa romy jons,,Mi napenda kumshauri jamaa atafute ofisi maalumu awekeze maana hiyo ajira ni kama imepotea kiaina..Romy umenipata?sorry lakini,,mimi siyo heta,Karibuni wadau.