A
Anonymous
Guest
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu tathmini na uthamini ufanyike lakini bado malipo ya fidia hayajafanyika na hakuna taarifa yoyote.
Wakazi wanashindwa kufanya maendeleo yoyote kwenye maeneo yao.
TANROADS na Serikali toeni taarifa wananchi wajue