Nini hatma ya taasisi ya ustawi wa jamii na waliomaliza hapo?

Nini hatma ya taasisi ya ustawi wa jamii na waliomaliza hapo?

Mpaki

Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
28
Reaction score
1
Jamani naomba kuuliza. Chuo cha ustawi kimefutiwa usajiri kwamba kilikuwa hakina sifa ya kutoa shahada. Itakuwaje kwa walio pata shahada kabla ya kufutiwa usajiri huo. TCU tunaomba majibu
 
Back
Top Bottom