Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
hivi kwel HESLB wanaweza kuzima watu wote hao waliokosa mkopo maana wengi tu CHUO kwa mwaka huu itakuwa basi kwan ile idadi waliyosema wanatatoa mkopo 35679 leo hii imekuaje wameshindwa kufka huko nna IMANI watafanya mageuzi na vijana WENGI wengine watapewa MIKOPO majibu zaidi ni HAPO kesho mguu kwa mguu hadi HESLB watoe majb ya kna y faculty ni priority alaf MTU anakosa KAMA utakuwa ujapata jb nitaleta majb hapa hapa ponde tu nitakapopata haya majib kutoka HESLB kama una swali uliza kesho ltawekwa pale HESLB nitaleta majibu maana hii sio kawaida kukosa kiasi hiki,,2pia chochote ktafka HESLB bye
 
waulize ni nini tofauti kati ya did not secured pamoja na did not acquired kama yalivotumika katika utoaji wa majibu ya mkopo.
 
inasikitisha kweli mm kuna rafik yangu mpaka anajuta kusoma alivyochanganyikiwa!
 
dah inasikitika me apa nimesha kata tamaa na kusoma na malengo yangu yameisha yote kiukweli
 
ni hivi jaman don't loose hope haya mambo yanawezekana kuna tetesi nmezipata kuhus watu waliokosa mkopo xo usikate tamaa ctak kusema mengi kexho mapema nitakuwa HESLB nitajthd xana kupata majb kwa faida ya wengi but plz don' luz
 
Waliopata ni wachache ndo maana ule utaratibu wa zamani wa kutoa majina kama zamani wameuacha maana wangeumbuka kutokana na idadi ndogo ya waliopata.
 
mkuu uje na picha kabisa nione nyuso za maskin wenzang naweza kupata faraja maana nahc kama npo peke angu..best wishes
 
kuzanzibar ni kawaida MTU akose CHUO 7b ya utemi wa MTU BUT i hope mambo yataenda xawa tu
 
2po wengi ndg yang ni kukomaa Haki inatafutwa unaweza kusema labda wamekuonea labda kuna k2 ndani yake hatujui ngja kexho wataxema 2tajua nn knaendlea
 
namimi nimoooooooo, kama vipi tukinukishe haiwezekani na two yangu chuo mlimani nikose boom.
 
Kamvp ulizia pia kama kuna second batch na if yes ni lini zitatoka
 
Back
Top Bottom