Nini hii inafanywa...Wanamibia wacharuka

Nini hii inafanywa...Wanamibia wacharuka

Nabii kibonge

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Posts
277
Reaction score
310
Ni baada ya bwana Almas kujimilikisha wimbo alioshirikishwa na kuondoa baadhi ya vitu vya wenye wimbo


Diamond isa version of Judas Escariotes in Africa
Screenshot_20190422-171613.jpeg
Screenshot_20190422-171936.jpeg
Screenshot_20190422-171856.jpeg
Screenshot_20190422-171833.jpeg
Screenshot_20190422-171618.jpeg
 
Sijaelewa,kichwa cha Kamongo kinanisumbua.
Mbona inaeleweka, kwa uelewa wangu mdogo yule mkazi wa madale kakwapua wimbo, hiyo tungo alishirikishwa kabla ila yeye kaamua kutoka nayo kama yeye
Though huo wimbo sijasikiliza
 
Sijaelewa,kichwa cha Kamongo kinanisumbua.
Original wimbo ulikuwa unaitwa I love you diamond alishirikishwa na huyo msanii wa Namibia na wimbo ulitoka uko YouTube miezi 2 iliyopita

Alichofanya Diamond Ni kufuta verse ya huyo msanii na kuweka mashairi yake na kuimba wimbo mzima peke yake na kutoa Leo asubuhi Kama wimbo wake rasmi.

Apo unaona mashabiki wa Namibia wamemaindi
 
Mbona inaeleweka, kwa uelewa wangu mdogo yule mkazi wa madale kakwapua wimbo, hiyo tungo alishirikishwa kabla ila yeye kaamua kutoka nayo kama yeye
Though huo wimbo sijasikiliza
Ok au hawakumlipa dau lake ndo maana kaamua kutoa kivyake.
 
Dogo kama anaijua copyright basi apige hela kwa msaka Kiki-,msaka kiki kuja maneno next week atatoa ngoma nyingine kali zaidi!!
 
wanajua kwamba daudi bashite ni mkuu wake?wanawajua TISS makirikiri walioko chini ya BASHITE?SHAURI ZENU NAMIBIA,WATU WASIOJULIKANA
 
huyo king tee alichoimba kwanza hakieleweki ni bora amemtoa nyimbo ingekuwa mbaya sasa hawa wa namibia wwanalazimisha awepo hakati mtu hajui kuimba
 
Back
Top Bottom