Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
Mbona inaeleweka, kwa uelewa wangu mdogo yule mkazi wa madale kakwapua wimbo, hiyo tungo alishirikishwa kabla ila yeye kaamua kutoka nayo kama yeyeSijaelewa,kichwa cha Kamongo kinanisumbua.
Original wimbo ulikuwa unaitwa I love you diamond alishirikishwa na huyo msanii wa Namibia na wimbo ulitoka uko YouTube miezi 2 iliyopitaSijaelewa,kichwa cha Kamongo kinanisumbua.
Ok au hawakumlipa dau lake ndo maana kaamua kutoa kivyake.Mbona inaeleweka, kwa uelewa wangu mdogo yule mkazi wa madale kakwapua wimbo, hiyo tungo alishirikishwa kabla ila yeye kaamua kutoka nayo kama yeye
Though huo wimbo sijasikiliza
Wanamibia wanamjua bashite lakini?domo yupo nyuma ya bashite!wasisahau hilo!