Justine_Dannie
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 1,962
- 1,618
Wamesema sio mwendo kasi ni mwendo wa haraka.Ngoja waje wenye majibu,wakishashuka kwenye mwendokasi watakujibu.
possibly true!KUNA KIPINDI MATAPELI WALIKUWA WANAITWA FORM SIX..NA MARA NYINGI WALIKUWA WAKIVAA HIVYO PAMOJA NA JEANS NA RABA MTONI.
Inawezekana maana zamani jina la nguo upewa kulingana na mtu aliyevaa ndio maana yalizuka nguo za Snoop Doggy,OPP,yondo sister,kanda bongoman. etcKUNA KIPINDI MATAPELI WALIKUWA WANAITWA FORM SIX..NA MARA NYINGI WALIKUWA WAKIVAA HIVYO PAMOJA NA JEANS NA RABA MTONI.