Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

Tunapofuatilia matendo ya baadhi ya viongozi wetu utagundua wanaakili ndogo mno
 
Pascal jaribu kutoa majibu kwa maswali haya.
 
Tatizo siyo ndugai, tatizo ni ccm na serikali yake.
Over.
 
Bunge litakuwa la green tuupu halitaleta picha nzuri kwa UN
 
Wao kwa wao hawaelewani huko chadema mbowe anajuwa kinachoendelea ili ale ruzuku mnyika hajui chochote ndiyo maana mbowe yuko kimya hebu wajaribu kwenda mahakamani uone watakavyoumbuka hawawezi kwenda mahakamani mbowe ndio aliowaweka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…