Hormonal imbalance, kawaida tu zitarudi katika hali yake

sababu nini labda
kuna my friend anatokwa hedhi mfululizo zaidi ya wiki, kaambiwa ni hiyo hormonal imbalance, madhara yake ni nini ? tiba yake je?
Pole, me mke wangu hapati siku zake karibu miaka mwili sasa, na bado hatujapata mtoto, nishahisi majanga katika family yangu. Vipimo vinaonesha anapungukiwa hormone ya estrogen. Yani ht sijui nini hatma yake. Nisaidieni tu wataalam