Nini hufanya thamani ya gari kuwa kubwa au ndogo

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Hello wakuu kuna kitu kinanichanganya sana...
Hivi ni nini hasa huwa kinafanya thamani ya gari kuwa kubwa mpaka kufikia mabilioni...mfano buggati cheron mpk bilion 10 na lina kaa watu wawili tu... Wakati noah inabeba watu 8 na sehem ya mizigo ipo....
 
Huwezi fananisha Noah yako iliyotengenezwa kwa Steel na gari iliyotengenezwa kwa Aluminium kama vile Landrover! So aina ya malighafi zilizotumika, the level of engineering that went into that car.
Experiment rahisi, nenda kwenye kituo cha mabasi panda basi aina ya Toyota Coaster.. Safari ya kurudi, panda basi la Eicher.. Tofauti ya ladha utakayoisikia ndiyo itakupa jibu la swali lako.
 
Unajua Ila hauna.......
 
Mi nahisi huenda hayo material na maspeed yake,Mara nyingi unakuta speed mpaka 400 ambayo ni ni nzuri hasa kwa safari ya kuelekea mbinguni.
Nimecheka mpka nimetokwa na machozi
 
Hiyo sawa mkuu lakini mpk gari lifikie bilioni tano hadi kumi huko?
 
Performance,materials,
Ila kusema kweli Tz hakuna magari.
Sijui vx,v8 hamna kitu kabisa tukifananisha na hayo ma Ferrari sijui ma non ya wasani wakubwa huko marekani.
Ni hatari ati
 
Bodi ya gari na vikorombwezo vyake ni factor mojawapo. Ukubwa wa injini na muundo wake. Demand ya gari na fuel economy mfano IST
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…