Nini husababisha mtu kutafuna meno?

Nini husababisha mtu kutafuna meno?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu kumekucha poleni na shughuli,

Hivi wakuu naomba kuuliza hivi ni ugonjwa gani unamfanyavmtu kutafuna meno kwa nguvu hadi yanatoa mlio kama ule wa yale wadudu wanaopekecha ma canch au mapaavya nyumba. Yaani ukikutana na mtu anatafuna meno unasikia ntriii! ntriiiii!

Hivi hii huwa vinasababishwa na nini?
 
kaa na mtu wa aina hiyo anakaribia kuwa vampaya
 
Raha tu tunapata wala hatuumwi.
 
Back
Top Bottom