Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

Labda madaktari wanajua zaidi effect ya friction force mapajani
Oky tunasubir majibu ili waweze kusaidia wengi maana hili tatizo lipo kwa wengi hasa wanawake wanene weupeee
 
Msuguano wa mapaja, hali ya joto nchini, uvaaji wa nguo za kubana kuanzia vyupi hadi masuruali haya yakubana. Hizi ndio sababu zinachangia kuchubuka kusababisha muonekano kama ameungua.

Nashauri wanawake vaeni boxer na skirt/gauni/madira ili kutatua tatizo hili. Hewa inahitajika jamani joto limekuwa kali.
 
Leta picha ya barafu wako wa moyo tuone kama ni kweli
 
Inasikitisha kwa sababu hali ya mwanamke kuwa na weusi mapajan ni mtihani sana na naamini wengi wanapambana na hali hiyo pasipo kufuata ushaur wa Dr pia mafuta ya nazi ni dawa nzuri sana ya kuondoa weus kwenye mapaja na kufanya kuwa laini
OK mama mshana Jr

Haikatai
 
ha ha ha.. hapana hapa lengo ni kusaidiana tu mi siwezi acha mgegeda msichana sababu ya rangi ya huko............................
Nawaona wanawake watakavyokuwa wanakataaa migegedo ya mchana
 
Hatari sana hii kitu kupakaa sehemu laini kama hizo.Utapata kansa mapeema!
Unafata ushaur wa Dr upake siku ngapi siyo unajipakia tu na hii inasaidia sana kama ulipata shida na matumiz ya pedii
Ukapata muwasho na ngozi kuungua na kuwa nyeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…