Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

Waanene wote hata kama anavaa skin tight mapaja yanasuguana hivyo kuacha weusi. Wenzangu mtasema ukweli bila kuwatupia hawa dada na mama zetu mawe wakati ni asili tu kwa wengi wa wanene niseme over 90%. Labda pengine ukute ni wale wanaoapply mpaka mikorogo huko ili kuepuka weusi ila ukikuta wale natural ni lazima utakutana na weusi kati kati ya mapaja.
 
Mkuu,ulipotelea wapi?
Jf, ilipoa ghafla...nakushujur Mzee wa King Kiki kitambaa cheupe!
 
Mapaja kusuguana

Uchafu

Joto

Kwenda haja ndogo bila kutumia Maji chumvi chumvi za kwenye mkojo huchangia
 
I love it when it's all black[emoji85]
Msinicheke wala msinishangae!
 
Hili tatzo co la wanawake tu....ni wote...

May b kwa kua research yako imebase kwa wanawake...

4mi tatzo nahisni joto na kubongeka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…