Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

Ok. Ntakuwa nawanunulia warembo wenye tatizo hilo... Maskini napenda tu kuwasaidia. Na NATANGAZA WENYE TATIZO HILO WAJE KWANGU NIWASAIDIE.

 
Ngoja nifanyie hilo wazo kazi....

Mleta mada anasema AMEONA HII KWA ZAIDI YA WATU MIA MOJA!
Hii ni research iliyokamilika kabisa. Nakushauri utafute chuo uipublish, utapewa PhD. I'm serious!
 
Ilikuwa unaisikiliziaje hiyo Papuchi? Na hukumuuliza why hatak ufurahie kutizama uzuri wa kule....

 
Mnatupa kazi tunazozipenda lakini... Binafsi mimi hakuna sehemu naona inapendeza kwenye mwli wa mwanamke kama K... Papuch mashalah papuchi. Daahhh...
Umenikumbusha video moja inamuonyesha mama mmoja hivi anajishika shika huko kwa bibi halafu kachukua video. Mapajani ni mweusi kama kaungua halafu alijichubua zile stretch mark zikawa kama zimejaa hivi. Nikajisemea wanaume wana kazi sana.
 
Hahahaha inategemeaa na huo weusi upoje,kuna unaosababishwaa na vifaa vya kunyoleaaa na kuna nyingine ziinasababishwa na vipodozi mbalimbali mtu anavyotumiaaaa......
Sawa
 
Kumbe kuna hatari kwa wazamiaji wazoefu kupatwa na weusi wa kuungua mdomoni na eneo la pua? Maana kule mgodini salt halikati
Asilimia kubwa mkuu ile chumvi chumvi si MChezo...sio watu wote wamrbabuka midomo kWa ajili ya konyagi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…