Nini husababisha nyeti za mwanamke kuungua?

Na nyingine hadi zinatisha, sema kidume anajikaza tu kwa ajili ya kutoa ugwadu, basi mtu ukisha tua kimoja hupati hamasa tena ya kuendelea alafu , nadhani hii hali yao nayo inasababisha wengine kuonekana kama wamepungukiwa nguvu za kiume na kumbe chanzo ni ile lami kwenye papuchi
 
Umenikumbusha video moja inamuonyesha mama mmoja hivi anajishika shika huko kwa bibi halafu kachukua video. Mapajani ni mweusi kama kaungua halafu alijichubua zile stretch mark zikawa kama zimejaa hivi. Nikajisemea wanaume wana kazi sana.
Haaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] kazi gani ya kudeki au mmmm
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna weusi mwingine wa kawaida tu bhn hautishi kivile
Ndugu acha ulisikia mmoja kubaya kama pua ya mbwa jamani sijui yeye alitoka wapi [emoji39] [emoji39] [emoji2] [emoji1]
 
Ndugu acha kwahiyo wanene na weupe hakuna kwenda mchana ni usiku tena giza hakuna kuchunguliana
Thank God am black ti ti tiiiiiii[emoji23] [emoji23]hata huo ukungu utafanana na ngozi ya mwil
 
GuuDume nilikuwa natafakari kila niiyonapo ID yako humu jukwaani kumbe hujambo kwa hivi vijimambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…