Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Na kila siku wanaziganda,wanazipenda huku wanazikandia matopeWangekuwa hata wanaona aibu kuziponda maana bila huko tusingejazana humu duniani
Kama siku zote,.ahsante saaana Chief.[emoji7]sawa mumu karibu sana, nitafurahi kushirikiana na wewe [emoji4]
Fact kabisaYaani huyo anaweza hata akakwambia siku mmetibuana halafu wenye midomo michafu ndiyo Mungu huwapa wa hivyo hivyo
Boxer zile za kiume au?za kubana ndo nzuri mana mapaja hayasuguani.Au anatak tuvae zile pensi za kuchezea mpira,si ndo tutachubuka mpaka tutoke damKasema taiti zinawabana wavae boxer, sasa uvae boxer bila pichu humo ndani inakuwaje
My pleasure [emoji4]Kama siku zote,.ahsante saaana Chief.[emoji7]
Ila kama mapaja ni manene zinapanda friction yake utaimba skin tight ni bora enzi hizo walipata shida sanaBoxer zile za kiume au?za kubana ndo nzuri mana mapaja hayasuguani.Au anatak tuvae zile pensi za kuchezea mpira,si ndo tutachubuka mpaka tutoke dam
Ndiyo hao kutwa deki hata hajui katokea wapi si ajabu katoka kwa mwingine anadumbukiza domo lake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kila siku wanaziganda,wanazipenda huku wanazikandia matope
NapitaMy pleasure [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena bila gloves
Hahahahaaa. TunakumbushiaAanha wewe tena mdada wa PCM.
Naona application za physics kila sehemu 😀 😀
usipite kimya ss mamaa, unaelekewa wapi kwanza?[emoji20]Napita
Utakua unapenda sana kudeki weweHa ha ha.... Raha sana kupiga deki hasa kama sakafu ni safi na yenye harufu ya asili...
Ndo naona saa hizi na niko kitandani. Ila nimeikumbuka wacha nivae fast nije.Njoo leo nikupige tena deki
Unaenda wapi naww mziguaaaaNapita
Naenda ndani kukusubiri mpenzusipite kimya ss mamaa, unaelekewa wapi kwanza?[emoji20]
[emoji23] [emoji23] jomoniiiiiiNdo naona saa hizi na niko kitandani. Ila nimeikumbuka wacha nivae fast nije.
Deki ya Saint Ivuga ni XXXL[emoji23] [emoji23] jomoniiiiii
Hahahaaa jamaniii,.saint analijua hili??halafu mshana awezi nitengeneza yuleee[emoji125] [emoji125] [emoji125]Naona tu unajibebisha kwa shemeji ako. Si unajua Demiss shoga angu eeeeh. Simu moja tu anamwambia mume wake akutengeneze