usisahau kufunga mlango ukitoka[emoji20]Ndo naona saa hizi na niko kitandani. Ila nimeikumbuka wacha nivae fast nije.
Ndo mana wengine wanapakaga poda maeneo hayo ili asiungueIla kama mapaja ni manene zinapanda friction yake utaimba skin tight ni bora enzi hizo walipata shida sana
Nilikua namtania my love. Niko kitandani nakusubiri wewe
Heheheee,.[emoji108] [emoji108] utakosa yote shogaangu,.nenda tuu ukadekiwe leoNilikua namtania my love. Niko kitandani nakusubiri wewe
Kakubamba leo wala hakujiNasubiri deki XXXXXXL kutoka kwa my sweet mango Mr Miller.
Baby anajua mi napenda utani wala hajanuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kakubamba leo wala hakuji
Mmh,,utani wa ngumi huoo[emoji12]Baby anajua mi napenda utani wala hajanuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalo joto la dar umetoka tegeta shopping karakoo poda halijaisha hahaha lazima yatakuwa meusi tuNdo mana wengine wanapakaga poda maeneo hayo ili asiungue
Ai wewe!!!!!Unakuta paja limekuwa kama tumbo la kenge
Nn tena?..tunavumilia mengi jamaniAi wewe!!!!!
Kwani sie hatuvumilii mbona tunawatunzia siri zenu?Nn tena?..tunavumilia mengi jamani
Mpenzi wako wa sasa siri ngapi unamtunzia?Kwani sie hatuvumilii mbona tunawatunzia siri zenu?
Hahaha zote sitoi nje na gumia tuMpenzi wako wa sasa siri ngapi unamtunzia?
Hapa umeshatoa siri tayari kuwa ana mapungufu mengi...hukuuona huo mtego kwny swali langu [emoji1] [emoji12]Hahaha zote sitoi nje na gumia tu
Nimekwambia siwezi toa siri za ndani kwani wewe siri unazojua ni zipi mkuu maana mie najua hata kama ni jambazi usiwambie watu au unapesa kiasi gani ndani basi siri yenuHapa umeshatoa siri tayari kuwa ana mapungufu mengi...hukuuona huo mtego kwny swali langu [emoji1] [emoji12]
Nyingi snNimekwambia siwezi toa siri za ndani kwani wewe siri unazojua ni zipi mkuu maana mie najua hata kama ni jambazi usiwambie watu au unapesa kiasi gani ndani basi siri yenu
Kama zipiNyingi sn
Unataka nizitoe sasaKama zipi