Nini husababisha nywele kuwa nyeupe(Mvi)

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Salam wana jukwaa hili. Kuwa na mvi kuna wengine huusisha kama kuwa na busara,lakini pia kuwa na kipara wengine eti vya kuridhi. Mvi na kipara kuna sababu nadhani zinazosabisha kuwa na vitu hivi,kwamsaada wa ma dr na wataalam wanaoelewa chanzo cha mvi pia kipara tafadhali anielimishe. Hivi vipara na mvi kwasasa havina umri utakuta rika lolote kwa wanaume wanazo pia huwa hawaweki pico kama wakina dada. Nielimisheni pia kunikosoa tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…